FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 4 June 2014

KUMBE FLORA MBASHA NDIO TABIA YAKE KUBAMBIKIA KESI, MCHUMBA WAKE WA KWANZA AFUNGUKA


Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lugisha huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza. Ili kumkimbia Imma Flora na familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu kumbe hili la kumsingizia Mumewe kumbaka mdogo wake hakuna jipya kwa wanaomjua vizuri ila ilikuwa tu the matter of time kabla hanaswa!!

No comments:

Adbox