FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Wednesday, 4 June 2014

DIAMOND ATOA MANENO MAZITO KUMHUSU RAISI KIKWETE. SOMA ALICHOKISEMA HAPA

UNAWEZA SOMA : SENTENSI 14 ZA UWONGO WA WANAWAKE:
Diamond Platnumz
[Where will you get a President who sacrifices his precious time that almost everyone of us wishes to have and

uses that time to help you meet and get connections with one of the biggest Music supporters in the Planet inorder to just make sure you reach and achieve your goals... What more can I say other than A big Thank you to Mr.President... God keep showering you with endless blessings and stand by you throughout your ruling...]

[Wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa Thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani..akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na Mdau mkubwa Duniani katikaa tasnia uliyopo, ili kuhakikisha tu Unafikia Malengo na Ndoto ya kazi zako.... Dah! Asante sana Mh Rais, Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusmamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako...]
UNAWEZA SOMA : HIZI NDIZO KAULI 8 TATA ZA WANAWAKE, WE MWANAMME UKIAMBIWA JIHADHARI SANA,ISIJE KULA KWAKO..

No comments:

Adbox