STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu
ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga
Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate
Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live.
Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers Ltd
Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers Ltd

No comments:
Post a Comment