Mwee Hata siamini ...Nimekutana na hii
Picha Mahali eti Wameandika ndio Maimatha Alivyo kwa sasa ...Weupe wote
Ule wa Mkorogo umepotea...Kama ni Hivyo Basi Wadada Mjifunze mkorogo sio
Deal ..utapendeza miaka michache tu ...Mkorogo ukisha kuchoka unarudi
kuwa mweusi....
No comments:
Post a Comment