DODOMA UPDATES.
• Bidii za kuwatafuta viongozi wa UKAWA
zimegonga mwamba ,ila wakati haya yakifanyika, wabunge wa UKAWA
wakiongozwa,na Mwenyekiti Ibrahim Lipumba walikutana,African dreams na
kuweka mikakati ya pamoja.
• Wabunge wa UKAWA wafikia maamuzi ya kuzunguka Nchi nzima na kueleza wananchi sababu za wao kutoka ndani ya Bunge la Katiba.
• Mkutano mkubwa wa uzinduzi utafanya Zanzibar kesho katika uwanja wa Kibanda maiti
• Mkutano wa uzinduzi wa UKAWA wa
kuzunguka Tanzania nzima utahutubiwa na viongozi wote wa vyama
vinavyounga ukawa, pia Mtikila, Makaidi na vyama vingine wamejiunga
rasmi UKAWA.
• Wajumbe wa UKAWA wamelaani upotoshwaji unaofanywa huku uongozi Ukiwa kimya
No comments:
Post a Comment