FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Sunday, 9 March 2014

YANGA WAONDOLEWA KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA KWA MIKWAJU YA PENALT 4 - 3

MICHEZO: Timu ya Yanga (Tanzania) imeondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti 4 - 3 baada ya timu hizo kufungana 1 - 1 kila moja ikipata bao nyumbani kwake.

Waliofunga penalti kwa Yanga ni Didier Kavumbagu, Nadir Haroub Canavaro na Emmanuel Okwi huku waliokosa ni Oscar Joshua, Said Bahanuzi na Mbuyu Twite.

Kwa matokeo hayo, Al Ahly inafuzu kuingia hatua ya 16 bora.

No comments:

Adbox