FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 29 May 2014

SPIKA MAKINDA AMWAMURU MWIGULU NCHEMBA KUVUA SKAFU MARA MOJA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE

Mwigulu Nchemba ni mpenda sifa sana.Anadhani kila mwananchi anaipenda skafu yake na hivyo kumuonyesha kuwa mbunifu na wa kipekee. Awe anaheshimu mahali anapokuwa kama Bungeni, Mahakamani,kanisani na kwingineko kunakohitaji heshhima ya juu. Hongera Spika Makinda kwa kusema na kuamuru kuvuliwa kwa skafu ya Mwigulu Nchemba

No comments:

Adbox