FACEBOOK

LightBlog

Breaking

LightBlog

Thursday, 29 May 2014

KUMBE SI BONGO TU,HADI MBELE MAGUMASHI, ANGALIA ALICHOFANYIWA DIAMOND PLATNUMZ.

10375607_593009050797165_1415755066_n

Unaweza kudhani kuwa mambo haya yapo hapa tzee tu, kumbe ni kila sehemu, hata huko kwa States yapo, ile show aliyekuwa aifanye mkali wa Afro Pop kutoka Bongo  Diamond platnumz, imeingia dosari, baada ya promota kushindwa kufikia ahadi zake katika swala zima la mkwanja, Show hii iliyokuwa ifanyike siku ya ijumaa ya kesho tarehe 30 May mjini Northampton, ndiyo ishakufa tena baada ya Dangote kuzinguliwa kibongo bongo

No comments:

Adbox